.

.

08 Mei 2015

CHAMA CHA DAVID CAMEROON CHASHINDA KWA KISHINDO.

Mbeyafm Redio's photo.

Waziri mkuu David Cameron amepata ushindi mkubwa katika uchaguzi mkuu uliofanyika nchini Uingereza jana.
Chama chake cha Conservative kimejipatia viti 330 huku kile cha leba kikijipatia 232.
Licha ya Matokeo hayo Mazuri huko Scotland ambapo SNP ilisajili ushindi mkubwa wa majimbo 50 chama hicho hakikutamba katika maeneo ya England na Wales.
Chama cha The Liberal Democrats wanaelekea kusajili matokeo duni wakiwa tayari wameshinda viti vinane pekee.
Nyota wa chama hicho (Lib Dems) Vince Cable, Ed Davey na Danny Alexander wote wameshindwa katika uchaguzi huo.

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni