.

.

13 Januari 2016

HONGERA SANA MTANGAZAJI WA RADIO MBEYA FM KWA KUUAGA UKAPELA.



Fredy Jackson na Bi Sylivia Tawete wakiwa na Nyuso za Furaha mara baada ya Ndoa yao hii leo.(Picha na David Nyembe wa Fahari News)


Marafiki wa bwana Harusi  wakiimba Nyimbo za kuabudu wakati wa Ndoa(Picha na David Nyembe wa Fahari News)



Bwana Harusi na Bi Harusi wakivishana Pete ya Ndoa (Picha na David Nyembe wa Fahari News)

Baadhi ya mashuhuda kabla ya tukio la Ndoa (Picha na David Nyembe wa Fahari News)

Picha ya Pamoja

Picha ya Pamoja (Picha na David Nyembe wa Fahari News)

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni