.

.

05 Juni 2016

VIDEO YA SAMATTA AKIKOSA PENATI


MISRI imekata tiketi ya kucheza Fainali za Kombe la Mataifa ya Afrika mwakani nchini Gabon, baada ya kuwafunga wenyeji, Tanzania mabao 2-0 jioni ya jana uwanja wa Taifa, Dar es Salaam.
Matokeo hayo yanawafanya Misri wamalize mechi za Kundi G wakiwa na pointi 10 baada ya mechi nne, wakishinda tatu na kutoa sare moja, wakati Tanzania inabaki na pointi yake moja na inashika mkia nyuma ya Nigeria yenye pointi mbili.

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni