Vikosi vya anga vya Syria vikishambulia maeneo yanayoshikiliwa na waasi nchini Syria
Vikosi
vya serikali ya Syria vimeua raia kadhaa kwa mashambulizi ya anga ndani
na karibu na mji wa Aleppo jana Ijumaa, hata baada ya kukubali kuruhusu
misafara ya kupeleka misaada kwa maeneo 12 yanayozingirwa.
Uvamizi
katika mji wa Aleppo ulikuwa makali zaidi katika kipindi cha zaidi ya
mwezi mmoja, na mapipa kadhaa ya mabomu na vilipuzi vimetupwa katika
wilaya zinazo dhibitiwa na waasi mashariki mwa jiji, mwandishi wa AFP
ameeleza.
Watu kumi
na wanne wameuawa wakati basi walilokuwa wakisafiria kushambuliwa
katika barabara ya Castello , barabara muhimu kwa waasi kwa ugavi nje ya
Aleppo kundi la ulinzi wa raia limesema.
Takribani
raia wengine 43 waliuawa katika mashambulizi yaa anga yaliyotekelezwa
na serikali katika vya mji wa mashariki unaodhibitiwa na waasi limesema
kundi la ulinzi wa raia linalojulikana kama White
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni