.

.

29 Aprili 2015

SERIKALI YA NEPAL YASEMA INASIMAMIA VYEMA MISAADA

.
Serikali ya Nepal imejitetea dhidi ya malalamiko juu ya misaada ya dharura, kufuatia tetemeko kubwa la ardhi lililotokea Jumamosi nchini humo.
Mkuu wa masuala ya dharura wa Nepal,Rameshwor Dangal,amezungumza kuwa serikali inajitahidi iwezavyo, lakini mkasa huo ulikumba majimbo 20 nchini humo na hivyo mahitaji ni mengi sana ndipo sasa serikali inaelemewa.

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni