.

.

21 Machi 2016

KIJIJI CHA IGALE KILICHOPO MBEYA VIJIJINI CHAKABILIWA NA CHANGAMOTO MBALIMBALI ZA KILIMO.






Wananchi wa kijiji cha igale kilichopo mbeya vijijini wanakabiliwa na changamoto na matatizo mbalimbali ya  Kilimo,Afya,Elimu, na Maji.
Shirika lisilo la kiserikali linashughulika na mambo yahusuyo usawa na jinsia Tanzania gender network program[TGNP] ilitembelea kijiji hicho na  kutoa taarifa ya mrejesho wa uchunguzi mbele ya wahandishi wa habari kuhusu uchunguzi uliofanyika na shirika hilo katika kikao hicho  ambacho kina kata nne Shongo,olongo amabayo ndio kata mama,Izumbwe,na Itaga,ambapo kila kata inachangamoto ambazo zinawakabili

Akiongea na Chambuzi News Mwambungu amesema wanakabiliwa na  ukosefu wa huduma ya afya ambapo katika kijiji cha ilongo ambacho ndio mama hakina hata zahanati moja,na kuwepo kwa upungufu wa wahudumu 

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni