Sakata
la wabunge kadhaa wapatao Saba wa vyama vya upinzani kusimamishwa
kushiriki shighuli za bunge linaendelea kugusa hisia za watanzania
ambapo sasa ni zamu ya vyama vya siasa ambavyo wabunge wao wamekumbwa na
sakata hilo.
Vyama vya upinzani kwa umoja wao kila kimoja muda
huu wametangaza kuandaa mapokezi makubwa kwa mikoa zaidi ya mmine
Tanzania kuwapokea wanaowaita mashujaa wao ambao wamesimaishwa kuingia
bungeni kwa Vipindi Tofauti,
Katika taarifa zilizotoka wa muda
huu ambazo zote zimesainiwa na Uongozi wa chama cha ACT WAZELENDO kama
wahusika wakuu katika mapokezi hayo imeeleza kuwa mapokezi hayo
yafanyika kwa lengo la kuwapokea wabunge na viongozi wao waliofukuzwa
bungeni kwa kosa la kudai Bunge liwe Live nchini. Nimekuwekea baadhi Ya taarifa zao hapa. |
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni