Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Jakaya Mrisho kikwete akiwa katika picha ya pamoja na baadhi ya watumishi waliovishwa nishani mbalimbali leo Jijini Dar es salaam.Kushoto ni Jaji MkuuMohamed Chande Othman na kulia ni Rais Mstaafu wa Awamu ya Pili Alhaji Ali Hassan Mwinyi.
.

24 Juni 2015
JK AWATUNUKU NISHANI WATUMISHI WA UMMA WALIOLILETEA SIFA TAIFA
Jisajili kwenye:
Chapisha Maoni (Atom)