Wananchi wa kijiji cha igale kilichopo mbeya vijijini
wanakabiliwa na changamoto na matatizo mbalimbali ya Kilimo,Afya,Elimu, na Maji.
Shirika lisilo la kiserikali linashughulika na mambo yahusuyo
usawa na jinsia Tanzania gender network program[TGNP] ilitembelea kijiji hicho
na kutoa taarifa ya mrejesho wa
uchunguzi mbele ya wahandishi wa habari kuhusu uchunguzi uliofanyika na shirika
hilo katika kikao hicho ambacho kina kata
nne Shongo,olongo amabayo ndio kata mama,Izumbwe,na Itaga,ambapo kila kata inachangamoto
ambazo zinawakabili
Akiongea na Chambuzi News Mwambungu amesema wanakabiliwa na ukosefu wa huduma ya afya ambapo katika
kijiji cha ilongo ambacho ndio mama hakina hata zahanati moja,na kuwepo kwa
upungufu wa wahudumu
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni