.

.

11 Februari 2016

BAADA YA KASHESHE YA CHUI INDIA, TEMBO NAE APELEKA KIZAAZAA


Hapa ni nchini India na huyu ndovu mwitu aliingia katika mji katika jimbo la Bengal Magharibi na kuhangaisha wakazi kwa saa kadha.
Baada ya masaa kadhaa maafisa walitumia vishale vyenye dawa ya kutuliza wanyama kumtuliza lakini tayari alikuwa ameharibu nyumba, magari na pikipiki.

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni