.
hatua ya Rais Pierre Nkurunziza kuwania awamu
ya tatu uongozini. Hii leo milio ya risasi imesikika
katika vitongoji vya mji mkuu wa Burundi,
Bujumbura, huku vijana wanaoandamana
kumpinga Rais Nkurunziza wakiwarushia mawe
polisi wanaojaribu kudhibiti hali. Nao viongozi wa
Jumuiya ya Afrika Mashariki wanakutana kesho
jijini Dar es Salaam, Tanzania, kuzungumzia hali
inayozidi kutokota nchini Burundi.
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni