.Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais - Kazi Maalim, Mh. Prof. Mark Mwandosya (kushoto) akipata maelezo kutoka kwa Meneja Mkazi wa Mradi wa nyumba 13 za kisasa kwa ajili ya Wafanyakazi wa Halmashauri ya Busokelo zinazojengwa na Shirika la Nyumba la Taifa, Ndugu Nyangi, wakati alipotembelea mradi huo
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni