.

.

04 Juni 2015

UCHAGUZI WAAHIRISHWA BURUNDI


Mbeyafm Redio's photo.
Tume ya Uchaguzi nchini Burundi, imetangaza kuahirishwa uchaguzi wa madiwani na bunge, ikiitikia wito wa Viongozi wa kiafrika, baada ya zaidi ya mwezi mmoja wa maandamano dhidi ya mpango wa rais Pierre Nkurunziza kugomea mhula wa tatu.

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni