Baada
ya jana kumtangaza kocha wao mpya Rafael Benitez, leo hii picha za jezi
zao ambazo watavaa msimu ujao zimevuja kwenye mtandao.
Utaratibu ni kwamba jezi zingezinduliwa kwa picha rasmi kutoka Real Madrid, lakini zimesambaa kabla ya uzinduzi rasmi.
Unazionaje hizi jezi ukifananisha na za msimu ulioisha?
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni