.

.

13 Septemba 2015

MATOKEO YA MECHI ZOTE ZA EPL ZILIZOPIGWA JUMAMOSI



Mata Reuters
Jana kulipigwa michezo saba kwenye ligi kuu nchini England (VPL) ambapo mbali na mchezo wa Manchester United dhidi ya Liverpool, kulikuwa na michezo mingine ambayo huenda hukupata muda wa kuitazama yote kwa pamoja. hapa chini kuna matokeo ya mechi zote saba zilizochezwa Jumamosi.
Matokeo EPL Sept 12

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni