Taarifa tulizozipata hivi punde zinasema mkuu wa wilaya ya Njombe Mh.
Sarah Dumba amefariki dunia ghafla jioni ya leo, kwa mujibu wa chanzo cha
habari Bi, Sarah alikua ofisini hadi mida ya saa tisa jioni ambapo alianza
kulalamika kua anajisikia vibaya, akapelekwa katika Hospital ya wilaya Kibena
ambapo muda mufupi alifariki dunia, blog hii inatoa pole kwa familia, wana
Njombe na wadau wa maendeleo nchini
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni