KAMISHNA MKUU WA MAPATO
MSTAAFU NA WENZAKE WATUPWA RUMANDE KWA UBADHILIFU WA BILIONI 12
Kamishna Mkuu Mstaafu wa Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) Harry Kitilya
(wa pili kushoto) na wenzake Shose Sinare na Sioi Solomoni wakiwa katika
Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu jijini Dar es Salaamu leo wakikabiliwa
na mashitaka 8 ikiwemo tuhuma za kujipatia fedha kiasi cha dola za
Marekani milioni 6, kati ya mwezi Machi na Aprili mwaka 2013, ili
kufanikisha mkopo kutoka Benki ya Stanbic kwenda serikalini. Watuhumiwa
hao wamepelekwa rumande mpaka Aprili 8 itakapotajwa tena.
Kamishna Mkuu Mstaafu wa Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) Dkt. Harry
Kitilya na wenzake Shose Sinare na Sioi Solomoni wamefikishwa katika

na mashitaka 8 ikiwemo tuhuma za kujipatia fedha kiasi cha Dola za
Marekani milioni 6, mwezi Machi mwaka 2013, ili kufanikisha mkopo kutoka
Benki ya Stanbic kwenda serikalini.
Watuhumiwa hao wamekana makosa na kurudishwa rumande hadi April 8, 2016
kesi yao itakapo somwa tena na Mahakam kuweka wazi juu ya suala la
dhamana.
Copy the BEST Traders and Make Money : http://ow.ly/KNICZ

Hakuna maoni:
Chapisha Maoni