Mshambuliaji
Shiza Ramadhan Kichuya wa timu ya Mtibwa Sugar amechaguliwa kuwa
mchezaji bora wa mwezi Machi kwa Ligi Kuu Tanzania.
Kichuya
alionyesha kiwango cha juu katika mwezi huo uliokuwa na raundi nne,
hivyo kuisaidia timu yake kushinda mechi mbili kati ya tatu ilizocheza.
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni