Mkuu wa wilaya ya Arusha,Fadhili Nkurlu akifungua maonesho ya
kimataifa ya madini ya Arusha Gem Fair kwa niaba ya Mkuu wa Mkoa wa
Arusha,Felix Ntibenda leo katika hoteli ya Mount Meru .Kaimu Kamishna wa
Madini nchini,Mhandisi Ally Samaje akizungumza wakati wa ufunguzi wa
maonesho hayo,alisistiza nia ya serikali kupambana na utoroshwaji wa
madini nje ya nchi.Mwenyekiti wa kamati ya Arusha Gem Fair,Peter Pereira
akitoa neno la utanguliza wakati wa ufunguzi wa maonesho ya madini
yanayohudhuriwa na waoneshaji na wanunuzi zaidi ya 400 kutoka sehemu
mbalimbali duniani.Madini aina ya Tanzanite
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni