NIMEKUWEKEA VIDEO YA MUONEKANO WA CHIDI BENZI KWA SASA.
Toka msanii Chid Benzi akubali msaada wa kumsaidia kuachana na madawa ya
kulevya na kupelekwa Sober House Bagamoyo afya yake kwa sasa inaendelea
vizuri sana na mwili wake umeanza kunawiri tofauti na alivyokuwa mwanzo
kabla hajapelekwa...
Ikumbukwe kuwa Meneja wa Diamond na Tip Top
Babu Tale ndio aliyeamua kumsaidia baada ya Chid kuonekana kwenye TV
akiwa katika hali iliyowatisha watu wengi na kuhoji amekubwa na nini
kwani mwili wake ulionekana kudhoofu sana na kukonda kupita kiasa..
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni