Katika hali inayoonyesha kuwa na majibizano kati ya Rais Magufuli na
Kituo Cha Haki za Binadamu LHRC kinachoongozwa na Dr. Hellen Kijo
Bisimba, leo Rais Magufuli hadharani kasema wanaosema amekiuka haki za
binadamu kumsimamisha ndugu Kabwe hadharani walitakiwa pia waseme vivyo
hivyo kipindi anamuapisha hadharani kwa kuwa ni mteule wake. Hivyo, ni
vyema wakaiacha serikali ikafanya kazi yake, na ikiwezekana itabidi
awachunguze hao LHRC credibility yao kama wanatetea mambo maovu.
CREDIT JAMIIFORUMS
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni