anasema , kwasababu amezaliwa mkoa wa dodoma na maeneo hayo anapenda sana kuwa karibu na watoto na kucheza nao kumemfanya awe na uwezo mkubwa wa kubuni vitu vingi vya sanaa kupitia tabia yake ya kukaa na kuona shughuli mbalimbali za watoto.
Kitu kikubwa anachoamini Stanley ni kuwa katika kila kipaji Mungu alichompa mtu basi kulikuwa na sababu moja kuwa sana , Kazi yake kuu ni msanii wa sanaa tofauti tofauti, art designer,break dancer,photographer, pia ni Magician
MALENGO YAKE
1.KUWASAIDIA WATOTO KUELEZA HISIA ZAO KWA JAMII
kwa njia mbalimbali na tofauti mojawapo ni njia za filamu za picha za mnato na video, na katika ndoto hii ameisha anza
2.KUWA NA KITUO CHA VIJANA WA FANI TOFAUTI TOFAUTI
lengo hili ni kuhamasisha vijana wenye malengo mengi na waliokata tamaa kuwaonesha njia kuwa bado hawajachelewa katika ndoto zao, kituo hiki kitawafanya vijana wanapata soko la uhakika katika dunia ya ushindani
BONDIA WA KIKE LULU
KAYAGE AHAPA KUFIA URINGONI KATIKA MPAMBANO WAKE MEI 14 TAIFA BONDIA
CHIEDZA HOMAKOMA 'NIKITA' MALAWI LULU KAYAGE TANZANIA Na Mwandishi Wetu
BONDIA Lulu Kayage yupo katika mazoezi mazito na makali kwa ajili ya
kujiandaa na mpambano wake wa kimataifa na Chiedza Homakoma 'Nikita'
Malawi mpambano utakaofanyika mei 14 katika uwanja wa ndani wa Taifa
akizungumza wakati wa mazoezi yake anayofanya kinondoni msisiri amesema
anajiandaa vizuri tu kwa ajili ya kumkabili mmalawi huyo atakaepigana
nae aliongeza kwa kusema unajuarekodi yangu imearibika kidogo kwa kuwa
nilipigwa kwa point mpambano wangu wa mwisho hivyo sasa nimejipanga
vizuri kuakikisha nafanya vema katika mpambano uho wa kimataifa nawa
aidi mashabiki wagu kuwa siku hiyo nitakuwa radhi nifie uringoni ili
ushindi ubaki Tanzania na siwezi kupigwa hapa nchini na nikatia aibu
Taifa langu siku hiyo pia kutakuwa na mapambano mbalimbali ya kimataifa
ya mchezo wa masumbwi nchini ambapobondia Thomas Mashali atakumbana na
Sajjad Mehrab kutoka 'Irani' ubingwa wa Dunia mkanda wa U.B.O mapambano
mengine ya kimataifa yatawakuanisha bondia Ramadhan Shauri atakaepambana
na Osgood Kayuni wa Malawi wakati Twaha Kassim atapambana na Fred
Nyakese kutoka Kenya na Saleh Mkalekwa atakumbana na Jems Onyango wa
Kenya na Fransic Miyeyusho atavaana na Frank Kiwalabye wa Uganda na
Nassibu Ramadhani atacheza na Edwrd Kakembo wa Uganda mapambano mengini
ni kati ya Shaban Kaoneka atakaecheza na Hassan Mwakinyo na Issa
Nampepeche atakumbana na Baina Mazola mapambano hayo ya kimataifa
yameandaliwa na promota mkongwe Ally Mwazowa kutoka mkoa wa Tanga siku
hiyo kutakuwa na burudani mbalimbali zitakazo sindikiza mapambano hayo
ya kimataifa ya mchezo wa masumbwi siku hiyo pia kutakuwa na ugawaji wa
zawadi kwa mabondia watakaocheza vizuri na kuonesa nidhamu ya mchezo wa
masumbwi ikiwemo vifaa vya mchezo pamoja na DVD za mafunzo ya mchezo wa
ngumi pamoja na kutamba shiria za mchezo uho nyingine zitakuwa zikiuzwa
kwa galama nafuu kwa mashabiki watakaofika siku hiyo
Make Money Online : http://ow.ly/KNICZ

pamoja sana kaka
JibuFuta