Albert Msando Mwanasheria wa Mahakama Kuu na ujasiliamali pia alitoa Semina. |
Naibu Waziri Ofisi ya Makamu wa Rais, Muungano na Mazingira Mhe Luhaga Mpina Akitoa neno kwa wanavyuo walioudhuria kwenye chakula cha jioni Jijini Mbeya. |
Mkurugenzi wa Eag Group Bw Imani Kajula akitoa Neno kwa wanachuo. |
Mkurugenzi wa Clouds Media Group Bw Ruge Mtahaba akitoa neno. |
Washindi kutoka Vyuo Mbalimbali vya Mbeya ambao walishinda zawadi kutoka Kampuni ya simu ya Huawei. |
Watangazaji wa Mbeya Fm Pia walikuwepo katika kongamano hilo. |
Picha ya pamoja wawezeshaji na washindi kutoka Vyuo Vikuu vya Mbeya. |
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni