.

.

07 Mei 2015

WAFANYABIASHARA WAFANYA UCHAGUZI WILAYA YA KYELA MKOANI MBEYA

Wafanyabiashara wa soko kuu wamefanya uchaguzi wa kuwapata viongozi watakaoongoza kwa miaka mitatu baada ya uongozi uliokuwepo kumaliza muda wake.
Pamoja na hayo uchaguzi umefanyika nakuwapata viongozi lakini aliyechaguliwa kuwa Mwenyekiti BENARD KYANDO maarufu mzee mwambalaso na kusema kuwa pamoja na kupata kura nyingi hayuko tayari kuwa mwenyekiti,huku wafanyabiashara wakimuhitaji kuwa kiongozi wao,Vikao vinaendelea kumshawishi kukubali maombi ya wafanyabiashara.

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni