.

.

21 Aprili 2016

STANLEY KATABALO KIJANA MBUNIFU NA BIDHAA ZAKE ZA KIPEKEE, KUTOKA DODOMA TANZANIA (STAN CULTURE)

Jina kamili: STANLEY KATABALO ni mshiriki wa program ya Y.P.P 2015/2016 kutokea Dodoma akiwakirisha asasi ya YWCA DODOMA , SIMU..0653862056
anasema , kwasababu amezaliwa mkoa wa dodoma na maeneo hayo anapenda sana kuwa karibu na watoto na kucheza nao kumemfanya awe  na uwezo mkubwa wa kubuni vitu vingi vya sanaa kupitia tabia yake ya kukaa na kuona shughuli mbalimbali za watoto.

Kitu kikubwa anachoamini Stanley ni kuwa katika kila kipaji Mungu alichompa mtu basi kulikuwa na sababu moja kuwa sana , Kazi yake kuu ni msanii wa sanaa tofauti tofauti, art designer,break dancer,photographer, pia ni Magician

MALENGO YAKE
1.KUWASAIDIA WATOTO KUELEZA HISIA ZAO KWA JAMII
    kwa njia mbalimbali na tofauti mojawapo ni njia za filamu za picha za mnato na video, na katika ndoto hii ameisha anza

2.KUWA NA KITUO CHA VIJANA WA FANI TOFAUTI TOFAUTI
    lengo hili ni kuhamasisha vijana wenye malengo mengi na waliokata tamaa kuwaonesha njia kuwa bado hawajachelewa katika ndoto zao, kituo hiki kitawafanya vijana wanapata soko la uhakika katika  dunia ya ushindani

BONDIA WA KIKE LULU KAYAGE AHAPA KUFIA URINGONI KATIKA MPAMBANO WAKE MEI 14 TAIFA BONDIA CHIEDZA HOMAKOMA 'NIKITA' MALAWI LULU KAYAGE TANZANIA Na Mwandishi Wetu BONDIA Lulu Kayage yupo katika mazoezi mazito na makali kwa ajili ya kujiandaa na mpambano wake wa kimataifa na Chiedza Homakoma 'Nikita' Malawi mpambano utakaofanyika mei 14 katika uwanja wa ndani wa Taifa akizungumza wakati wa mazoezi yake anayofanya kinondoni msisiri amesema anajiandaa vizuri tu kwa ajili ya kumkabili mmalawi huyo atakaepigana nae aliongeza kwa kusema unajuarekodi yangu imearibika kidogo kwa kuwa nilipigwa kwa point mpambano wangu wa mwisho hivyo sasa nimejipanga vizuri kuakikisha nafanya vema katika mpambano uho wa kimataifa nawa aidi mashabiki wagu kuwa siku hiyo nitakuwa radhi nifie uringoni ili ushindi ubaki Tanzania na siwezi kupigwa hapa nchini na nikatia aibu Taifa langu siku hiyo pia kutakuwa na mapambano mbalimbali ya kimataifa ya mchezo wa masumbwi nchini ambapobondia Thomas Mashali atakumbana na Sajjad Mehrab kutoka 'Irani' ubingwa wa Dunia mkanda wa U.B.O mapambano mengine ya kimataifa yatawakuanisha bondia Ramadhan Shauri atakaepambana na Osgood Kayuni wa Malawi wakati Twaha Kassim atapambana na Fred Nyakese kutoka Kenya na Saleh Mkalekwa atakumbana na Jems Onyango wa Kenya na Fransic Miyeyusho atavaana na Frank Kiwalabye wa Uganda na Nassibu Ramadhani atacheza na Edwrd Kakembo wa Uganda mapambano mengini ni kati ya Shaban Kaoneka atakaecheza na Hassan Mwakinyo na Issa Nampepeche atakumbana na Baina Mazola mapambano hayo ya kimataifa yameandaliwa na promota mkongwe Ally Mwazowa kutoka mkoa wa Tanga siku hiyo kutakuwa na burudani mbalimbali zitakazo sindikiza mapambano hayo ya kimataifa ya mchezo wa masumbwi siku hiyo pia kutakuwa na ugawaji wa zawadi kwa mabondia watakaocheza vizuri na kuonesa nidhamu ya mchezo wa masumbwi ikiwemo vifaa vya mchezo pamoja na DVD za mafunzo ya mchezo wa ngumi pamoja na kutamba shiria za mchezo uho nyingine zitakuwa zikiuzwa kwa galama nafuu kwa mashabiki watakaofika siku hiyo Make Money Online : http://ow.ly/KNICZ

Make Money Online : http://ow.ly/KNICZ

Maoni 1 :