.

.

05 Mei 2015

YASIKUPITE MATOKEO YA ARSENAL VS HULL CITY


TEOOOOOLigi kuu ya England inakaribia kufikia tamati na jana Arsenal imeaonyesha nia ya kutaka kumaliza ligi hiyo ikiwa katika nafasi tatu za juu baada ya jana kucheza na Hull City.

act
Katika mchezo huo  ambao Arsenal walionekana kuwadhibiti vyema wapinzani wao waliibuka na ushindi wa mabao 3-1, mabao ambayo yalifungwa na Alexis Sanchezamefunga mabao mawili, huku Aaron Ramsey akapachika moja na kuisaidia Arsenalkuibuka na ushindi  huo dhidi ya wapinzani wao Hull City.
teo
Kwa ushindi huo, Arsenal imeendelea kubaki katika nafasi ya tatu, ikiwa na pointi 70 sawa na Man City katika nafasi ya pili na imebakiwa na mchezo mmoja mkononi.
dog
Mbwa akiwa amevalishwa jezi ya Hull City

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni