Jumatatu
Septemba 21, 2015 baada ya upande wa mashtaka Mahakama ya Ilala, Dar imemwachia
huru Emmanuel Mbasha leo kushindwa kuthibitisha kosa la ubakaji dhidi yake.
Itakumbukwa
mwaka 2014 Emmanuel Mbasha ambae ni mwimbaji wa injili na mfanyabiashara alifunguliwa
mashataka mawili mahakama ya Ilala kwa makosa mawili ikiwemo la ubakaji. Katika
shitaka la kwanza Mei 23, mwaka 2014 eneo la Tabata Kimanga, Wilaya ya Ilala,
jijini Dar es Salaam, ilidaiwa kinyume cha sheria alimuingilia kwa nguvu
msichana anayedaiwa kuwa shemeji yake.
Katika
shitaka la pili, ilidaiwa kuwa Mei 25, mwaka 2014 eneo la Tabata Kimanga,
jijini Dar es Salaam, kinyume cha sheria, mshtakiwa aliumuingilia kwa nguvu
mfanyakazi wake.
Mahakama
ya Ilala, Dar imemwachia huru Emmanuel Mbasha leo Jumatatu Septemba 21,
2015 baada ya upande wa mashtaka kushindwa kuthibitisha kosa la ubakaji
dhidi yake.
Itakumbukwa
mwaka 2014 Emmanuel Mbasha ambae ni mwimbaji wa injili na mfanyabiashara
alifunguliwa mashataka mawili mahakama ya Ilala kwa makosa mawili
ikiwemo la ubakaji. Katika shitaka la kwanza Mei 23, mwaka 2014 eneo la
Tabata Kimanga, Wilaya ya Ilala, jijini Dar es Salaam, ilidaiwa kinyume
cha sheria alimuingilia kwa nguvu msichana anayedaiwa kuwa shemeji yake.
Katika shitaka
la pili, ilidaiwa kuwa Mei 25, mwaka 2014 eneo la Tabata Kimanga, jijini
Dar es Salaam, kinyume cha sheria, mshtakiwa aliumuingilia kwa nguvu
mfanyakazi wake.
- See more at: http://www.fichuotz.com/2015/09/mbasha-ashinda-kesi-ya-ubakaji.html#.VgA1PgYs-4U.facebook
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni