Mke wa Waziri Mkuu, Mama Mary Majaliwa (wapilinkulia) akitoa
msaada wa shuka na mito kwa wazazi wote waliojifungua na waliokuwa
wakisubiri kujifungua kwenye wodi ya wazazi ya hospitali ya wilaya ya
Ruangwa Aprili 11, 2016. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
|
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akitembelea soko kuu la wilaya ya Ruangwa
kakagua hali ya upatikanaji na bei za vyakula akiwa katika jimbo lake
la uchaguzi Aprili 11, 2016. (Picha na Ofisi ya Wairi Mkuu) |
|
Waziri Mkuu, Kassim Majliwa na Mkewe Mary wakikabidhi baiskeli kwa
walemavu Kanisia Ndaka (wapili kulia na na Rehema Mtachi (wapili
kushoto) kwenye uwanja wa michezo wa mjini Ruangwa Aprili 11, 2016.
(Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
|
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni