inahusu tukio lililotokea huko Florida Marekani,
ambapo mtoto mwenye umri wa miaka 13, amemshambulia kaka yake mwenye
umri wa miaka 16 pamoja na mdogo wake mwenye umri wa miaka 6, kwa
kuwapiga na risasi halafu akajipiga mwenyewe.
Polisi
wamesema watoto hao walikuwa peke yao nyumbani kwao wakati mama yao
akiwa kazini wakaanza kugombania chakula, mtoto huyo akachukua bastola
na kuanza kuwashambulia wenzake, kaka yake alipiga simu Polisi ambao
walifika eneo la tukio na kumkimbiza Hospitali lakini mtoto aliyewapiga
risasi pamoja na mdogo wake walikutwa wameshafariki
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni