WATU 12 WAOKOLEWA NDANI YA NYUMBA ZAO DAR
watu 12 wamearifiwa kuokolewa kutoka ndani ya nyumba zao baada ya kuzingirwa na maji eneo la kinondoni mkwajuni jijini dar es salaam katika zeozi la uokozi ambalo limefanywa na kikosi cha zima moto kutoka ilala pamoja na vijana wa skauti ambapo licha ya zoezi hilo kupata mafanikio kwa kuokoa watu wote ambao afya zao zilikuwa salama vurugu pia zilijitokeza baada ya kundi moja la vijana kupinga zoezi hilo bila ya kuwa na sababu yoyote ya msingi.
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni