.

.

08 Mei 2015

PELE AFANYIWA UPASUAJI.


Mbeyafm Redio's photo.
Pele mwenye umri wa miaka 74 alilazwa katika hospitali hiyo takribani miezi sita iliopita kwa upasuaji wa dharura ili kuondoa mawe katika figo yake.
Pele ambaye jina lake ni Edson Arantes do Nascimento alifunga zaidi ya mabao 1200 wakati alipokuwa akicheza soka na kuisaidia Brazil kushinda mataji matatu ya kombe la dunia.

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni