.

.

14 Septemba 2015

TAZAMA PICHA ZA MOTO WATEKETEZA MADUKA ENEO LA TABATA MUSLIM MDA HUU


 Wakazi wa Tabata Muslim na vitongoji vyake wakishuhudia tukio hilo


 Sehemu za fremu zilizoteketea kwa moto huku askari wa kikosi cha zimamoto wakiendelea kuzima moto katika fremu za jirani ambazo nazo zilianza kushika moto na kufanikiwa kuzizima bila kuleta madhara kwa fremu za jirani





Magari la Kikosi cha zimamoto yakiwa tayari yamewasili na kuanza zoezi la kuzima moto huo uliotokea katika fremu mbili za biashara katika eneo la Tabata Muslim Muda huu huku fremu za za jirani zikinusurika kuteketea mara baada ya kikosi cha zimamoto kufanikiwa kuzizima.Picha zote na Josephat Lukaza

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni