.

.

11 Mei 2015

MSIWATESE MAWAZIRI WANGU,KAULI AMBAYO AMEITOA JONATHAN.


Mbeyafm Redio's photo.

Rais wa Nigeria anayeondoka Goodluck Jonathan, ameonya dhidi ya kuwatesa mawaziri walohudumu katika utawala wake.
Jonathan ameonya kuwa mawaziri waliohudumu katika utawala wake wamo katika hatari ya kuteswa pindi mrithi wake Muhammadu Buhari atakapochukua wadhfa.
Matamshi hayo yanakisiwa kuashiria kuwa labda Jonathan anahofu kuwa uchunguzi wa ubadhirifu wa mali ya uma na ufisadi huenda ukawalenga mawaziri wake.
Rais Jonathan ndiye kiongozi wa kwanza wa Nigeria kuondolewa Ofisini baada ya kushindwa katika uchaguzi mkuu mwezi Machi.

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni