Najua nina watu wangu ambao ni watumiaji wazuri sana wa mitandao ukiwemo mtandao wa instagram ambao umekuwa ukitumiwa na watu mbalimbali kama mtandao wa kupost picha au video ya kitu fulani.
Sasa good news
niliyoipata muda huu ni kwamba moja kati ya kitu kilichoboreshwa kwenye
mtandao huo ni kwenye upande wa video ambapo kwa mara ya kwanza
mtumiaji alikuwa akipost video yenye sekunde 15 lakini leo maboresho
yaliyofanywa makubwa ni kwamba mtumiaji wa mtandao huo atakuwa anaweza
kupost video yenye dakika moja tu badala ya sekunde 15.
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni