.

.

25 Mei 2015

DUDA AELEKEA KUSHINDA UCHAGUZI MKUU NCHINI POLLAND.

Mbeyafm Redio's photo.

Rais wa Poland Bronislaw Komorowski
amekubali kushindwa katika uchaguzi
uliofanyika wiki iliyopita.
Hata hivyo matokeo rasmi yatatolewa
japo kuwa matokeo ya awali yanaonyesha
kwamba Komorowski ambaye ni mshirika
wa serikali ya mlengo wa kulia,
ameshindwa kwa asilimia 53 kwa asilimia
arobain na dhidi ya mpinzani wake
Andrzej Duda.

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni