.

.

25 Mei 2015

KATIKA HISTORIA:


Siku kama ya leo miaka 655 iliyopita yaani Mei 25 1360, kundi moja la mabaharia kutoka Ufaransa liliigundua Ghuba ya Guinea. Ghuba ya Guinea ipo magharibi mwa bara la Afrika katika bahari ya Atlantic.
Muda mfupi baada ya kugunduliwa Ghuba hiyo, Wafaransa walianza upenyaji wao barani Afrika na taratibu wakaidhibiti ardhi iliyokuja kujulikana baadaye kwa jina la Guinea.
Hatimaye mwaka 1958 Guinea ilijipatia uhuru wake baada ya harakati na mapambano ya wanaharakati na wapigania uhuru wa nchi hiyo kuzaa matunda.

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni