.

.

13 Septemba 2015

MATOKEO YOTE YA MECHI ZA UFUNGUZI VPL



Simba vs Mwadui 9
Pazia la ligi kuu Tanzania bara limefunguliwa rasmi jana ambapo michezo saba imechezwa kwenye viwanja tofauti wakati jumla ya timu 14 zilikuwa viwanjani zikiwania pointi tatu muhimu, matokeo ya mechi zote zilizochezwa siku ya Jumamosi ni kama ifuatavyo;
Azam FC 2-1 Tanzania Prisons (Azam Complex, Chamazi)
African Sports 0-1 Simba (Mkwakwani, Tanga)
Ndanda FC 1-1 Mgambo JKT (Nangwanda Sijaona, Mtwara)
Toto Africans 1-0 Mwadui FC (CCM Kirumba, Mwanza)
Stand United 0-1 Mtibwa Sugar (Kambarage, Shinyanga)
Majimaji FC 1-0 JKT Ruvu (Majimaji, Songea)
Mbeya City FC 0-1 Kagera Sugar
Leo utachezwa mchezo mmoja wa ligi kuu Tanzania bara kwa kuzikutanisha Yanga dhidi ya Coastal Union ya Tanga mchezo utakaopigwa kwenye uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam.

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni