Marekani itatuma
ndege zake za kivita aina ya F-22 stealth kuelekea nchini Korea ya
Kusini ambazo zina uwezo wa kubeba silaha za nyuklia ili kuonyesha nguvu
zake za kijeshi kwa serikali ya Korea ya Kaskazini , shirika la habari
la Yonhap lilisema.
Ndege za F-22 stealth zina uwezo wa kuepuka kugunduliwa na rada, na pia uwezo wa kubeba makombora ya nyuklia na mabomu.
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni