.

.

04 Aprili 2016

RAIS MAGUFULI AMEAHIRISHA SHAMRASHAMRA ZA MAADHIMISHO YA SIKU KUU YA MUUNGANO TANZANIA


Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John  Magufuli ameahirisha sherehe za maadhimisho ya Siku ya Muungano na badala yake akawataka Watanzania waiadhimishe wakiwa majumbani au wakiwa katika shughuli zao binafsi. Siku hiyo huadhimishwa tarehe 26 Aprili kila mwaka.

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni