.

.

17 Mei 2016

WAKAZI WA MAJENGO MKOANI MBEYA WAOMBA MADEREVA DALADALA KUFIKA KATIKA KITUO KILICHOPANGWA

Stendi ya daladala majengo ambayo kwa sasa haitakiwi kutumika.
                                    Kijiwe cha boda boda Majengo(Majengo kona)

   Baadhi ya Mtaa unaotumiwa na baadhi ya madereva daladala wakiwa wanaelekea katika stendi inayotakiwa kutumika kwa sasa.

     Kituo cha Majengo Kona ambacho hakitakiwi kutumika kwa sasa zaidi ya kuchukua abiria nakuondoka.




                                  Diwani wa kata ya Majengo Samweli John Mwamboma.
 
Wakazi wa Majengo Mkoani Mbeya,waomba madereva wa daladala zitokazo Igawilo hadi Majengo,ambao wanatumia mitaa mbalimbali pindi wafikapo Majengo,kwani baadhi ya Madereva upita kwa kasi katika mitaa hiyo na ofu yao kubwa ni kwa watoto wadogo wapitao au wanaocheza katika mitaa,
Kwa upande wawafanya biashara wa eneo la Majengo ambapo ndipo daladala zote zinatakiwa kuishia hapo Richard mwakimomo aliweza kukanusha kuwa baadhi ya madereva wamekosa uhelewa pale ambapo wanawalazimisha kuishia sehemu husikandio wanakuwa na mwendo wa kasi tofauti na madereva wengine,huku akigusia baadhi ya wafanya biashara wanaofanya biashara Majengo kona sehemu ambayo haitakiwi kufanyia biashara zaidi zaidi ni kujumuika katika sehemu inayoitajika ambayo ni Majengo.

Kwa upande wake Diwani wa kata ya Majengo Samweli John Mwamboma ambapo amesema wanashukuru kwa baadhi ya madereva ambao tayari wametii na wanaendelea kutii kufika sehemu inayotakiwa ambapo ndio sehemu sahihi inayoitajika pamoja na kuwaomba wafanyabiashara ambao wanafanya Biashara sehemu ambayo haitakiwi kuanza kuamia katika sehemu husika.

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni