.

.

27 Aprili 2015

.SERIKALI YA BURUNDI YAFUNGA KITUO CHA RADIO.


Viongozi nchini Burundi wamechukua uamzi wa kufunga kituo cha redio RPA, moja ya redio za kibinafsi inayosikilizwa na watu wengi nchini humo, na katika baadhi ya maeneo ya nchi jirani.
Redio RPA kama redio za kibinafsi nchini Burundi imekua ikitangaza moja kwamoja kuhusu hali inayojiri wakati huu mjini Bujumbura, hususani maandamano yanayoendelea.

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni