WATU 18 WAMEFARIKI KATIKA AJALI YA HIACE KIWIRA MBEYA SAMAHANI KWA PICHA HIZI
Watu 18 wamefariki dunia katika ajali ya hiace maeneo ya kiwira wilayani
Rungwe Mkoani Mbeya na inasemekana majeruhi ni wawili gari hii ilikuwa
ikiokea mbeya mjini kwenda Tukuyu
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni