Rais waUruguay Jose Mujica leo ametimiza miaka 80,ambaye aliwahi kuwa mpiganaji wa msituni, ambaye muda wote amekuwa akiishi katika shamba lake amekuwa akitoa sehemu ya mshahara wake kwenye shirika la misaada, Mujica, (80), aliondoka madarakani akiwa na kukukubali kwa asilimia 65 ya watu wa Uruguay. Ameheshimu katiba inayomzuia kugombea vipindi vinavyofuatana.
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni