mkuu wa mkoa wa Arusha, Felix Ntibenda,
SERIKALI mkoa wa Arusha imeiagiza ofisi ya mganga mkuu wa mkoa wa Arusha,kuhakikisha kuwa wauguzi wote katika hospital zote wenye sifa ya kupandishwa vyeo wapandishwe mara moja na kulipwa stahiki zao .
Agizo hilo limetolewa na mkuu wa mkoa wa Arusha, Felix Ntibenda, kwenye maadhimisho ya siku ya wauguzi
yaliyofanyika kwenye viwanja vya hospital ya mkoa wa Arusha, ya Mount Meru.
yaliyofanyika kwenye viwanja vya hospital ya mkoa wa Arusha, ya Mount Meru.
Katika hotuba hiyo iliyosomwa na kaimu mkuu wa mkoa ,Jowika Kasunga,ambae ni mkuu wa
wilaya ya Monduli, Ntibenda, amesema kuwa tayari maelekezoya wauguzi kupandishwa vyeo yalishatolewa kilichobakia ni
utekelezaji tu
wilaya ya Monduli, Ntibenda, amesema kuwa tayari maelekezoya wauguzi kupandishwa vyeo yalishatolewa kilichobakia ni
utekelezaji tu
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni