TAARIFA YA AJALI YA GARI ULIOHUSISHA MSAFARA WA MH. MAKONGORO. TR/AR/08/015 KOSA AJALI YA GARI KUACHA BARABARA NA KUPINDUKA NA KUSABABISHA MAJERAHA MNAMO TAR 06/06/015 MAJIRA YA SAA 10:30HRS HUKO KASULU MJINI GARI NO T188BXG AINA L/CRUISER ILIYOKUWA IKIENDESHWA NA JULIAS S/O NYERERE ILIACHA NJIA NAKUPINDUKA WALIOUMIA NI JULIAS S/O NYERERE AMEUMIA KICHWANI , 2. EVANS S/O MAGEGE, 30YRS,MSUKUMA, M/HABARI COOPERATION AMEPATA MAUMIVU YA MWILI 3. FIKIRI S/O MARUMBA, 35YRS, MSUKUMA K/MWENEZI CCM MSOMA MJINI AMEUMIA SIKIO LA KUSHOTO 4. ALLY S/O TESHA, MCHAGA,37YRS ARUSHA KAZI DEREVA NA 5 CYPRIAN S/O MSIBA MUANDISHI WA HABARI CHANNEL TEN AMEUMIA KWENYE MABEGA.XX HALI ZAO NI NZURI NA WAMETIBIWA NA KURUHUSIWA KASORO CYPRIAN MSIBA ANAYESUBIR HUDUMA YA X RAY
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni