Watu hao mara baada ya kula chakula hicho ambacho kilikuwa ni
kitoweo cha nyama ya mbuzi mikate na asali walianza kutapika mfululizo
kabla ya wasamaria wema kuwakimbiza hosipitali ya rufaa ya mkoa wa
Dodoma ambapo muuguzi mfawizi wa hosipitali hiyo Rehema Mghina
akithibitisha kupokea watu hao huku akisema kuwa bado wako kwenye
utafiti wa kitabibu ili kugundua wagonjwa hao wanasumbuliwa na tatizo
gani.
Hata hiyo watu hao baada ya kulazwa kwa zaidi ya masaa 24
wameruhusiwa kurudi majumbani ambapo wameeleza kilicho wasibu mara baada
ya kula chakula hicho huku waandaaji wa sherehe hiyo wakibaki na
sitofahamu kuhusu tukio hilo.
WASTARA PIA AMEKATWA UBUNGE VITI MAALUM MOROGORO
Mchezaji wa
filamu ambaye amekuwa akigusa hisia za watanzania wengi, Wastara Juma
pia alijitosa kuwanua ubunge wa viti maalumu huko mkoani Morogoro
kupitia tiketi ya Chama Cha Mapinduzi CCM lakini bahati haikuwa yake
baada ya kutochaguliwa, kayaandika haya kupia Instagram:
“Morogoro tumebarikiwa ukarimu mmenibeba mmepokea mmenikumbatia na mwisho mmenililia kwa mapenzi yenu makubwa mlionyesha kwangu siwaachi ng’o na walemavu wa nchi nzima waliokuwa bega kwa bega wakilia na mim na kuniombea mafanikio sijashindwa bado sababu nina nia ya kweli juu yenu juu yetu kuhakikisha tunaheshimika na shida zetu zinatatulika nitatumia fursa niliyonayo kuwafikia,”

Hakuna maoni:
Chapisha Maoni