Indonesia
imepiga hatua kuhalalisha kuhasiwa na kemikali kama adhabu kwa
wanaodhalilisha watoto kijinsia, hii ni kwa mujibu wa tume ya taifa
inayotetea watoto nchini humo.
Rais wa Indonesia Joko Widodo anatarajiwa kutia saini sheria mpya itakayoruhusu adhabu hiyo.
Kulingana na
sheria hiyo, watakaopatikana na kosa ya kudhalilisha watoto kingono
watadungwa na kemikali ya kupunguza hamu ya ngono ili wasirudie kosa
hilo.
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni