Michuano
ya kombe la shirikisho la soka nchini imeendelea leo kwenye uwanja wa sokoine
jijini Mbeya kwakuzikutanisha timu ya Mbeya City Dhidi ya Wenda Fc na kushuhudiwa
timu hizo zikimaliza dakika tisini kwa kutofungana
Baada
ya matokeo hayo sheria ya mikwaju ya penati ikachukua nafasi yake ambapo Mbeya
City ikafanikiwa kwa kuibuka na ushindi wa penati 4 kwa tatu
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni