Mchezo wa mpira wa miguu uliochezwa katika uwanja wa Mzumbe Kampasi ya Mbeya,ambapo Mzumbe na T.I.A Mbeya walikutana katika Mechi hiyo ya Kirafiki iliyoandaliwa na 89.5 Mbeya fm redio yako,ambapo Timu ya Wanafunzi kutoka Mzumbe waliibuka kidedea kwa njia ya penati,ambapo ndani yadakika 90 za mchezo walitoka sare ya goli moja kwa moja na hivyo kupelekea hatua ya upigaji penati ambapo Mzumbe aliibuka kwa Ushindi wa goli Tano huku T.I.A akipoteza penati moja katika mchezo huo wa kirafiki na kufanya Mzumbe kuibuka na ushindi na akikabidhiwa kitita cha shilingi laki mbili pamoja na jezi fulu huku chuo cha T.I.A akipata fulu jezi.
.
11 Juni 2016
MBEYA FM YADHAMINI MCHEZO WA KIRAFIKI WA MPIRA WA MIGUU.
Mchezo wa mpira wa miguu uliochezwa katika uwanja wa Mzumbe Kampasi ya Mbeya,ambapo Mzumbe na T.I.A Mbeya walikutana katika Mechi hiyo ya Kirafiki iliyoandaliwa na 89.5 Mbeya fm redio yako,ambapo Timu ya Wanafunzi kutoka Mzumbe waliibuka kidedea kwa njia ya penati,ambapo ndani yadakika 90 za mchezo walitoka sare ya goli moja kwa moja na hivyo kupelekea hatua ya upigaji penati ambapo Mzumbe aliibuka kwa Ushindi wa goli Tano huku T.I.A akipoteza penati moja katika mchezo huo wa kirafiki na kufanya Mzumbe kuibuka na ushindi na akikabidhiwa kitita cha shilingi laki mbili pamoja na jezi fulu huku chuo cha T.I.A akipata fulu jezi.
Jisajili kwenye:
Chapisha Maoni (Atom)
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni