.

.

18 Juni 2016

POLISI WATAWANYA MAHAFALI YA WANAFUNZI WA CHADEMA WA VYUO VIKUU VYA DODOMA


Hivi ndivyo ilivyotokea leo katika ukumbi wa hoteli ya African Dream mjini Dodoma, ambapo jeshi la polisi limewatawanya wanafunzi wa vyuo vikuu ambao ni wanachama wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) waliokuwa katika ukumbi huo kwa ajili ya kushiriki mahafali yaliyoandaliwa na viongozi wa chama hicho.

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni